VIDEO-Tido Mhando kizimbani kwa mashtaka matano
Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Tido Mhando amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka manne ya matumizi mabaya ya ofisi.
Mhando anakabiliwa na mashtaka matano ya matumizi mabaya ya madaraka na moja la kuisababishia Serikali hasara ya Sh887 milioni akiwa TBC.
Tido alifikishwa mahakamani hapo saa 5:22 asubuhi na aliingizwa katika ukumbi wa mahakama ya wazi kabla ya kusomewa mashitaka hayo matano.
Endelea kufuatilia habari hii itakujia punde kwa urefu zaidi
Comments
Post a Comment