Skip to main content

Mgambo aliyeonekana mtandaoni akimpiga raia aliyekataa kulipa faini ya usafi akamatwa



Askari Mgambo waliompiga na kumuumiza vibaya mfanyabiashara Robson Orotho mkazi wa Bunju A anayedaiwa kutolipa faini ya usafi wanashikiliwa na Jeshi la polisi Mkoa wa Kinondoni baada ya kusambaa kwa video inayoonyesha tukio hilo.
Video Player
00:00
01:00

Related Articles

Comments

Popular Posts